The latest about us in your inbox
Be the first to hear our news
Msimu huu wa Magifti ya Viwango unakupa nafasi ya kujishindia Iphone 18 kila wiki
Nunua kifurushi cha siku, wiki au mwezi kwa kupakua na kutumie Yas App au piga *147*00#
Ingia kwenye droo na upate nafasi ya kushinda
Funga na kufungua mwaka kwa kishindo
| Aina ya Zawadi | Zawadi | Muda |
|---|---|---|
| Zawadi za kila Siku | Tsh 1,000,000 | Kila siku |
| Zawadi za kila Wiki | iPhone 18 Pro Max | Kila wiki |
| Zawadi za kila Mwezi | Tsh 10,000,000 | Kila mwezi |
| Zawadi Kuu – Mshindi wa Kwanza | Gari jipya (Zero Kilomita) | Mwisho wa msimu |
| Zawadi Kuu – Mshindi wa Pili | Tsh 10,000,000 | Mwisho wa msimu |
| Zawadi Kuu – Mshindi wa Tatu | 5,000,000 | Mwisho wa msimu |
| Zawadi za Papo Hapo | Hadi Tsh 5,000,000 kupitia Yas App | Kila unapozungusha Gurudumu la Zawadi |
Kila unaponunua kifurushi unapata nafasi ya kushiriki kwa mujibu wa vigezo na masharti ya kampeni.
Mara moja kila wiki, siku ya Jumatano.
Mshindi wa droo ya siku au wiki hawezi kushinda tena droo ya aina hiyo, lakini anaweza kushinda Zawadi ya kuu ya mwisho wa msimu (grand prize).
Utapigiwa simu na mwakilishi wa Yas kupitia namba 100 tu.
Kupitia duka la Yas lililoko karibu nawe kwa maelekezo ya mwakilishi wa Yas.
Hakuna gharama ya ziada ya kushiriki kwenye kampeni ya Magifti ya Viwango.
Piga 100, tembelea duka la Yas au tovuti yetu kupitia yas.co.tz.
Tembelea yas.co.tz kusoma masharti rasmi ya kampeni.
Be the first to hear our news
We use cookies and similar technologies to help personalize content, tailor and measure ads, and provide a better experience. By clicking "Accept", you consent to our use of cookies and to our Privacy Policy.
We use cookies and similar technologies to help personalize content, tailor and measure ads, and provide a better experience. By clicking "Accept", you consent to our use of cookies and to our Privacy Policy.