5G yenye kasi zaidi. 4G iliyoenea zaidi. Minara 4,800. Jionee utofauti sasa
5G yenye kasi zaidi. 4G iliyoenea zaidi. Minara 4,800. Jionee utofauti sasa
Mtandao wa viwango ni utambulisho mpya wa mtandao wa Yas. Utambulisho huu natokana na uwekezaji wa muda mrefu tulioufanya kuboresha miundombinu ya mtandao wa Yas ili kukidhi mahitaji ya kidigitali ya watanzania.
Utambulisho huu unawapa wateja wetu nguvu mpya ya kufurahia huduma zetu
bora za mawasiliano zinazopatikana kila kona ya Tanzania na unawezesha ndoto zao kutimia popote pale walipo hivyo kudhihirisha nguvu ya teknolojia.
Angalia ueneaji wa mtandao wetu Tanzania
Mtandao wa viwango ni utambulisho mpya wa mtandao wa Yas. Utambulisho huu unatokana na uwekezaji wa muda mrefu tulioufanya kuboresha miundombinu ya mtandao wa Yas ili kukidhi mahitaji ya kidigitali ya watanzania.
Uwekezaji tulioufanya na upatikanaji wa huduma zetu bora unatupa uhalali wa kutumia utambulisho huu wa mtandao wa viwango kwa sababu;
• Tumewekeza zaidi ya shilingi trilioni 1 kuboresha miundombinu ya mtandao wetu.
• Mtandao wetu wa 4G na 5G unapatikana kila kona ya nchi.
• Nchi nzima minara yetu ya mawasiliano ni zaidi ya 4,800, ambayo ni minara 1,000 zaidi kuliko mtandao mwingine wowote Tanzania.
• Mtandao wetu una-kasi unayostahili kukamilisha malengo yako.
• Ubora wa mtandao wetu umethibitishwa na wataalamu ndani na nje ya nchi ikiwemo taasisi ya Ookla ambayo imethibitisha Yas kama mtandao wenye kasi zaidi
Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo.
Utambulisho huu unawapa wateja wa Yas nguvu mpya ya kufurahia huduma zetu
bora za mawasiliano zinazopatikana kila kona ya Tanzania. Pia, utambulisho huu unawezesha ndoto nyingi za watanzania kutimia popote pale walipo hivyo kudhihirisha nguvu ya teknolojia.
Ili kunufaika na utambulisho huu mpya wa mtandao
wa Yas unatakiwa kununua laini ya Yas ili uweze kuturahia viwango vya juu vya ubora wa huduma za mawasiliano.
Be the first to hear our news